Tunajivunia kutoa huduma bora za kilimo na ufugaji, kukuza mipango endelevu, na kusaidia wakulima kufanikisha malengo yao kwa njia za kisasa na bunifu.
Huduma ZetuTunatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima kuhusu mbinu bora za kilimo, mbegu bora, na matumizi ya teknolojia za kisasa ili kuongeza mazao.
Huduma za kusindika mazao ya kilimo ili kuongeza thamani na kuwafikia masoko mapya kwa faida zaidi.
Tunaunganisha wakulima na wauzaji wa ndani na kimataifa, kuhakikisha mazao yanauzwa kwa bei nzuri na kwa wakati.
Huduma za matumizi ya teknolojia kama vile kilimo cha kisasa, mifumo ya umwagiliaji, na utumiaji wa drones katika kilimo.
Kusaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wakulima kwa kupitia miradi ya kijamii na mafunzo ya ujasiriamali.
Huduma za ufugaji wa kuku kwa ajili ya kuku wa mayai na nyama, ikiwa ni pamoja na ushauri, mafunzo, na usaidizi wa kiufundi kwa wakulima.
"GESCA ENTREPRISES imebadilisha biashara yangu ya kilimo kwa kutoa mbegu bora na ushauri mzuri. Mazao yangu yameongezeka sana!"
– Juma, Mkulima wa Mahindi
"Huduma za ufugaji na mbolea zimeongeza afya ya mifugo yangu, na maziwa yameongezeka kila mwezi."
– Amina, Mfuza Maziwa